NGOMA MPYA KUTOKA KWA JAYRENE INAITWA PENZI LANGU,MSANII KUTOKA MORO TOWN
SIO AJABU KWA RAIA WA MORO TOWN NA PANDE ZA TZ KWA UJUMLA KUSIKIA JINA LA HUYU JAMAA,KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIO JAYRENE MZEE WA PENZI LANGU,NI YOUNG KUTOKA PANDE ZA KIHONDA MOROGORO NA KWA SASA ANARUN THIS TOWN NA HIT SONG YAKE NALILIA PENZI LANGU NA SOON ATAACHIA BONGE LA NGOMA AKIMSIMAMISHA MTU MZIMA O TEN,SO JAMAA ANAHITAJI SUPPORT YENU WADAU WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NA KAMA UNA MAONI JUU YAKE USIOGOPE KUMTUMIA,MAWASILIANO YA SIMU YAKE NI 0655472422 AU 0653472422.HII HAPA NI NGOMA YAKE INAITWA PENZI LANGU.http://www.hulkshare.com/6mnnd6vj37y8
Post a Comment