0
BADO VIJANA WANAONYESHA UWEZO WAO KATIKA FANI NA HUYU HAPA NDO NINAYEMZUNGUMZIA ANAITWA FRANK KWA JINA HALISI LAKINI KTK KONA ZA MITAA MWITE FRAY B A.K.A HATARI NYINGINE NAE NI KUTOKA PANDE ZA KIHONDA MOROGORO,FANYA BRAIN YAKO KUWA POA COZ HII NGOMA NI KAMA INTRODUCTION YA MAPISHI MAKALI YA NGOMA ZAKE HUYU JAMAA TOKA KITAANI HADI KWA HEWA NI UJIO TU HAKUNA KUULIZA BALI SIKIA KWA MASIKIO YAKO NN KIJANA ALICHOFANYA JE UJIO WAKE NI KAMA AFANDE KWA PUSHA,SIKIA MASHAIRI VIZURI KABISA NA PIA KAMA UNA ISHU UNATAKA KUCHONGA NA DOGO HAKUNA ZENGWE MAWASILIANO YAKE NI 0655156360 KAA HAPA...........http://www.hulkshare.com/pros5t8x29z4

Post a Comment

 
Top