0
KAMA WEWE NI MFUATILIAJI WA MAMBO YA MUZIKI HASA WA HIP HOP SIDHANI KAMA JINA LA YOUNG TUNDA LITAKUWA GENI MASIKIONI MWAKO NA KAMA HUJA MPATA MWANAHARAKATI MDOGO KIUMBO LAKINI MKUBWA KIMASHAIRI NI YULE MSHINDI WA FREESTYLE BATTLE KATIKA PROJECT YA PLANET FM MOROGORO.MICHANO NDO ASILI YAKE SABABU SINA HAJA YA KUKUELEZA NINI NINACHOMAANISHA MAANA ITAKUWIA VIGUMU KUAMINI PUNCH UTAKAZOZISIKIA KUTOKA KWA NGOMA HIYO HUU UJIO SIO WA KI UNDERGROUND WAZAWA NI KAMA MAJI KWENYE MKONDO WAKE SO NI VIGUMU KUACHA NJIA YAKE,KUWA WA KWANZA KUINUA MUZIKI WA HIP HOP TANZANIA,NA BIG UP KWA JAMAA GQ KWA MAKING YA BITI UJAZO...............FUATA LINK HIYO HAPO KUDOWNLOAD HIYO SONGhttp://www.hulkshare.com/ro1oljuylh4w

Post a Comment

 
Top